sw_num_text_reg/26/28.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 28 Koo za uzao wa Ysufu zilikuwa Manase na Efraimu. \v 29 Huu ndio uliokuwa uzao wa Manase: Kwa Machiri, ukoo wa Wamachiri (Machiri ndiye aliyekuwa baba wa Giliedi), kwa Giliedi, ukoo wa Wagiliedi.