sw_num_text_reg/26/10.txt

1 line
214 B
Plaintext

\v 10 Pale ambapo dunia ilifungua kinywa na kuwameza pamoja na Kora wakati ambapo wafuasi wa Kora walikufa. Wakati ule, moto uliteketeza wanaume 250, amboa wlikuwa ishara ya onyo. \v 11 Lakini uzao wa Kora haukufa.