sw_num_text_reg/26/08.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 8 Eliabu alikuwa mwana wa Palu. \v 9 Wana wa Eliabu walikuwa ni Nemueli, Dathani. na Abiramu. Hawa ni walewale Dathani na Abiramu waliomfuata Kora waliompinga Musa na Haroni na kumpinga BWANA.