sw_num_text_reg/26/03.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 3 Kwa hiyo Musa na Eliazari kuhani wakawaambia katika uwanda wa Moabu karibu na Yorodani kule Yeriko na kusema, \v 4 Wahesabuni watu, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi kama BWANA alivyomwamuru Musa na watu wa Israeli walitoka katika nchi ya Misri."