sw_num_text_reg/26/01.txt

1 line
264 B
Plaintext

\c 26 \v 1 Ilitokea baada ya tauni ambayo BWANA alimwambia Musa na Eliazari mwana wa Haroni kuhani, Alisema, \v 2 Wahesabu watu wote wa Israeli, kuanzia miaka ishirini na zaidi, kwa jamaa ya familia zao wote ambao wanaweza kwenda kwenye vita kwa ajili ya Israeli."