sw_num_text_reg/24/15.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 15 Balaamu alianza unabii huu. Akisema, "Balaamu mwana wa Beori anasema, Mtu yule aliyefumbuliwa macho yake. \v 16 Huu ni unabii wa mtu alisikiaye neno la Mungu, aliye na maarifa toka kwake Yeye aliye juu, aliye na maono kutoka kwa Mwenyezi, Yeye ambaye humpigia magoti macho yakiwa yamefumbuliwa.