sw_num_text_reg/24/10.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 10 Hasira za Balaki zikawaka dhidi ya Balaamu naye akaipiga mikono yake kwa pamoja. Balaki akamwambia Balaamu, "Nilikuita ili uwalaani maadui zangu, Lakini tazama, umewabariki mara tatu. \v 11 Kwa hivyo ondoka uende nyumbani uniache sasa hivi. Nilisema ningekupa zawadi kubwa sana, lakini BWANA amekuzuilia kupata zawadi."