sw_num_text_reg/23/13.txt

1 line
484 B
Plaintext

\v 13 Basi Balaki akamwambia, "Hebu uje nami kwenye eneo jingine ili uwaone. Utakaowaona ni wale wa karibu tu, huwezi kuwaona wote. Huko sasa unaweza kunilaania hawa watu." \v 14 Kwa hivyo akampeleka Balaamu kwenye shamba la Zofimu, lililo juu ya Mlima Pisiga, na kule akajenga madhabau zingine saba. Akatoa sadaka ya fahari mmoja na kondoo dume kwa kila madhabahu. \v 15 Kisha Balaamu akamwambia Balaki, "Simama hapa karibu na sadaka zako, wakati mimi naenda kukutana na BWANA kule."