sw_num_text_reg/23/04.txt

1 line
411 B
Plaintext

\v 4 Wakati bado akiwa juu ya mlima. Mungu akakutana naye, na Balaamu akamwambia, "Nimejenga madhabahu saba, na nimetoa sadaka ya fahari na kondoo dume kwa kila madhabahu." \v 5 BWANA akaweka ujumbe kwenye kinywa cha Baalamu akasema, "Rudi kwa Balaki ukamwambie." \v 6 Kwa hivyo Balaamu akarudi kwa Balaki aliyekuwa amesimama karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, na viongozi wote wa Moabu walikuwa pamoja naye.