sw_num_text_reg/22/34.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 34 Balaamu akamwambia malaika wa BWANA, nimetenda dhambi. Sikujua kuwa ulisimama kinyume na mimi barabarani. Kwa hivyo sasa, kama haikupendezi, Nitageuka." \v 35 Lakini yule malaika wa BWANA akamwambia Balaamu, "endelea na wale watu. Lakini utasema maneno nitakayokwambia tu."Kwa hivyo Balaamu akaendelea na wale vioingozi wa Balaki.