sw_num_text_reg/22/09.txt

1 line
331 B
Plaintext

\v 9 Mungu akaja kwa Balaamu na kumwambia, "Ni akina nani hawa waliokuja kwako?" \v 10 Balaamu akamjibu Mungu, "Balaki mwana wa Zippori, Mfalme wa Moabu amewatuma kwangu. Alisema, \v 11 'Tazama hawa watu waliotoka Misri wanafunika uso wa nchi yangu. Sasa naomba uje unilaanie hawa watu. Labada nitaweza kuwashinda na kuwafukuza.'"