sw_num_text_reg/20/25.txt

1 line
197 B
Plaintext

\v 25 Mchukue Haroni na Eliazari mwanaye, na uwalete juu ya Mlima Hori. \v 26 Umvulishi HaronI yale mavazi ya kikuhani na umvalishe Eliazari mwanaye. Haroni atakufa na kulazwa pamoja na watu wake."