sw_num_text_reg/20/12.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 12 Kisha BWANA akamwambia Musa na Haroni, "Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya watu wa Israeli, hamtawaingiza hawa watu katika nchi niliyowaahidi. \v 13 Mahali hapa paliitwa maji ya Meriba kwa sababu wana wa Israeli walitofautiana na BWANA pale, na akajionyesha kwao kuwa mtakatifu.