sw_num_text_reg/20/06.txt

1 line
167 B
Plaintext

\v 6 Basi Musa na Haroni wakatoweka mbele ya mkutano huo. Wakaenda kwenye hema ya kukutania wakalala kifudifudi. Ndipo pale utukufu wa Busara wa BWANA ukaonekana kwao.