sw_num_text_reg/20/04.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 4 Kwa nini umewaleta watu wa BWANA kufia katika jangwa hili, sisi na wanyama wetu? \v 5 Kwa nini ulitutoa Misri na kutuleta katika eneo hili baya? Hapa hakuna nafaka, wala mitini, wala mizabibu, wala makomamanga. Na hakuna maji ya kunywa."