sw_num_text_reg/19/14.txt

1 line
366 B
Plaintext

\v 14 Hii ndiyo sheria ya mtu anayefia hemani. Kila mtu aingiaye hemani na kila mtu ambaye tayari yumo hemani atakuwa najisi kwa siku saba. \v 15 Kila chombo ambacho hakina kifuniko kinanajisika. \v 16 Vivyo hivyo, kwa mtu aliye nje ya hema ambaye atamgusa mtu aliyeuawa kwa upanga, au mzoga wowote, au mfupa wa mtu, au kaburi--mtu huyo atakuwa najisi kwa siku saba.