sw_num_text_reg/16/47.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 47 Kwa hiyo Haroni akafanya kama alivyoelekezwa na Musa. Akakimbia kati ya watu. na Tauni ilikuwa imeanza kuenea kati ya watu, kwa hiyo akaweka ndani yake uvumba na akafanya upatanisho wa watu. \v 48 Haroni akasimama kati kati ya zile maiti na watu hai; na kwa njia hii ile tauni ikazuiwa.