sw_num_text_reg/16/41.txt

1 line
374 B
Plaintext

\v 41 Lakini siku iliyofuata asubuhi watu wa Israeli wakamlalamikia Musa na Haroni. Nao walisema, "Umeua watu wa BWANA." \v 42 Kisha ikatokea, wakati watu walipokuwa wamekusanyika kinyume na Musa na Haroni, wakatazama kuielekea hema ya kukutania, na tazama lile wingu lilikuwa likiifunika. Utukufu wa BWANA ukaonekana, \v 43 Musa na Haroni wakaja mbele ya hema ya kukutania.