sw_num_text_reg/16/15.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 15 Musa alikasirika sana na akamwambia BWANA, "husipokee sadaka zao. Sijachukua punda mmoja kutoka kwao, na sijamdhuru hata mmoja wao." \v 16 Kisha Musa akamwambia Kora, "Kesho wewe na kundi lako mtaenda mbele za BWANA-wewe na wao na Haroni. \v 17 Kila mmoja wenu atatwaa chetezo na kuweka ubani ndani yake. Ndipo kila mtu atamletea BWANA chetezo chake, vyetezo mia mbili na hamsini. Wewe na Haroni, pia, kila mmoja ataleta chetezo chake.