sw_num_text_reg/15/35.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 35 Kisha BWANA akanena na Musa, "Yule mwanaume lazima auawe. Watu wote lazima wampige kwa mawe nje ya kambi." \v 36 Kwa hiyo watu wote wakamtoa nje ya kambi nao wakampiga kwa mawe mpaka akafa kama vile BWANA alivyokuwa amemwamuru Musa.