sw_num_text_reg/15/30.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 30 Lakini mtu afanyaye chochote kwa Kukusudia, awe mzawa au mgeni, ananifukuru mimi. Huyo mtu ataondolewa kati ya watu wake. \v 31 Kwa sababu atakuwa amedharau neno langu na amevunja neno na amri yangu, mtu huyo ataondolewa kabisa. Dhambi yake itakuwa juu yake.'"