sw_num_text_reg/15/11.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 11 Itafanyika hivi kwa kila fahari, kwa kila kondoo dume, na kila mwanakondoo dume au mbuzi mchanga. \v 12 Kila sadaka utakayoindaa na kuitoa itafanyika kama ilivyoanishwa hapa. \v 13 Wazawa wote wa Israeli watafanya mambo haya kwa utaratibu huu, yeyote atakayeleta sadaka iliyotengenezwa kwa moto, ili kufanya harufu nzuri kwa BWANA.