sw_num_text_reg/12/13.txt

1 line
369 B
Plaintext

\v 13 Kwa hivyo Musa akamwomba BWANA, akasema, "Mungu ninakusihi umponye tafadhali." \v 14 BWANA akamwambia Musa, " kama baba yake angemtemea mate usoni angepata aibu kwa muda wa siku saba. Umfungie nje ya kambi kwa muda wa siku saba. Kisha umrejeshe ndani tena." \v 15 Kwa hivyo Miriamu akafungiwa nje ya kambi kwa siku saba. Watu hawakusafiri mpaka aliporudi kambini.