sw_num_text_reg/07/15.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 15 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga, kondoo dume mmoja na mwana kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja. \v 16 Alitoa beberu kama sadaka ya hatia. \v 17 Alitoa makisai mbili, kondoo waume watano, beberu watano na wana ,kondoo dume watano wenye umri wa mwaka mmoja, kama sadaka ya amani. Hii ilikuwa sadaka ya Nashoni mwana wa Aminadabu.