\v 10 kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yusufu, Elishama mwana wa Ammihudi; kutoka kabila la Manase, Gamaliel mwan wa Pedazuri; \v 11 kutoka kabila la Benjamini mwana wa Ysufu, Abidani mwana wa Gidion;