\v 6 Musa akayatwaa yale magari na mafahari. na kuwapatia Walawi. \v 7 Aliwapa magari mawili na mafahari wanne wale wa uzao wa Gerishoni, kwa sababu ndivyo kazi yao ilivyohitaji. \v 8 Aliwapatia uzao wa Merari magari manne na mafahari nane, chini ya uangalizi wa Ithamari mwana wa Haroni kuhani. Alifanya hivi kwa sababu ya uhitaji wa kazi yao.