Wed Jul 20 2022 08:57:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-20 08:57:06 +03:00
parent 4daef2b8eb
commit ed7f26296b
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 28 Kisha BWANA akafungua kinywa cha punda na akaongea. Akamwambia Balaamu, "Nimekukosea nini kiasi kwamba umenipiga mara tatu?" \v 29 Balaamu akamjibu yule punda, "Ni kwa sababu umenitendea ujinga. Natamani kama ningekuwa na upanga mkononi mwangu, kama ningekuwa nao, sasa hivi ningekuwa nimekuua." \v 30 Yule punda akamwambia Balaamu, "Je, mimi si punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote mpaka hivi sasa? Je, nimewahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi hapo awali?" Balaamu akasema "hapana."
\v 28 Kisha BWANA akafungua kinywa cha punda na akaongea. Akamwambia Balaamu, "Nimekukosea nini kiasi kwamba umenipiga mara tatu?" \v 29 Balaamu akamjibu yule punda, "Ni kwa sababu umenitendea ujinga. Natamani kama ningekuwa na upanga mkononi mwangu, kama ningekuua nao, sasa hivi ningekuwa nimekuua." \v 30 Yule punda akamwambia Balaamu, "Je, mimi si punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote mpaka hivi sasa? Je, nimewahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi hapo awali?" Balaamu akasema "hapana."

View File

@ -391,6 +391,7 @@
"22-18",
"22-21",
"22-24",
"22-26"
"22-26",
"22-28"
]
}