diff --git a/04/46.txt b/04/46.txt index 5462bad..a3e0c41 100644 --- a/04/46.txt +++ b/04/46.txt @@ -1 +1 @@ -\v 46 Kwa hiyo Musa na Haruni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kw kufuata koo na familia za mababu zao \v 47 kuanzia wenye umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini. walimhesabu kila aliyepaswa kufanya kazi kwenye masikani, na kila aliyepaswa kubeba na kulinda vitu vya kwenye hema ya kukutania. \v 48 Waliwahesabu wanaume 8, 580. \ No newline at end of file +\v 46 Kwa hiyo Musa na Haroni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa kufuata koo na familia za mababu zao \v 47 kuanzia wenye umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini. walimhesabu kila aliyepaswa kufanya kazi kwenye masikani, na kila aliyepaswa kubeba na kulinda vitu vya kwenye hema ya kukutania. \v 48 Waliwahesabu wanaume 8, 580. \ No newline at end of file diff --git a/04/49.txt b/04/49.txt index dc70fb4..c42afd8 100644 --- a/04/49.txt +++ b/04/49.txt @@ -1 +1 @@ -\v 49 Kwa agizo la BWANA, Musa alimhesabu kila mwanamume na kutunza kumbukumbu ya kazi ambayo kila mmoja anaweza kufanya. Kwa hivyo, walitii kile ambacho BWANA alikuwa amewaagiza kufanya kupitia kwa Musa. \ No newline at end of file +\v 49 Kwa agizo la BWANA, Musa alimhesabu kila mwanaume na kutunza kumbukumbu ya kazi ambayo kila mmoja anaweza kufanya. Kwa hivyo, walitii kile ambacho BWANA alikuwa amewaagiza kufanya kupitia kwa Musa. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 9c0bfe0..7ee6e7b 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -118,6 +118,8 @@ "04-37", "04-38", "04-41", - "04-42" + "04-42", + "04-45", + "04-46" ] } \ No newline at end of file