Tue Jul 12 2022 22:38:44 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
68faf555c4
commit
d8d4fc2cd2
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 24 Eliasafu mwana wa Laeli ataongoza koo za uzao wa Wagerishoni. \v 25 Familia ya Gerishoni watalilinda hema la kukutania pamoja na hiyo masikani. Watalilinda hema, kifuniko chake, na lile pazia la lango la hema ya kukutania. \v 26 Wataulinda ua, lile pazia la kwenye lango--ua unaozunguka mahali patakatifu na madhabahu. Watazilinda kamba za hema ya kukutania na vyote vilivyomo.
|
||||
\v 24 Eliasafu mwana wa Laeli ataongoza koo za uzao wa Wagerishoni. \v 25 Familia ya Gerishoni watalilinda hema la kukutania pamoja na hiyo masikani. Watalilinda hema, kifuniko chake, na lile pazia la lango la hema ya kukutania. \v 26 Wataulinda ua, lile pazia kwenye lango--ua unaozunguka mahali patakatifu na madhabahu. Watazilinda kamba za hema ya kukutania na vyote vilivyomo.
|
Loading…
Reference in New Issue