Fri Jul 22 2022 08:11:35 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-22 08:11:35 +03:00
parent 4976c5b537
commit a5581486d3
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 50 Tumemletea BWANA sadaka, ambayo kila mmoja amepata, vitu vya dhahabu, metali, timbi, pete za mhuri, vipini na vikuku, ili kujifanyia upatanisho kwa BWANA." \v 51 Musa na Eliazari kuhani akapokea kutoka kwao dhahabu na vitu vyote vilivyotengenezwa kwa ufundi.
\v 50 Tumemletea BWANA sadaka, ambayo kila mmoja amepata, vitu vya dhahabu, metali, timbi, pete za mhuri, vipini na vikuku, ili kujifanyia upatanisho kwa BWANA." \v 51 Musa na Eliazari kuhani wakapokea kutoka kwao dhahabu na vitu vyote vilivyotengenezwa kwa ufundi.

View File

@ -1 +1 @@
\v 52 Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA- sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16, 750. \v 53 Kila mwanajeshi alikuwa ameteka nyara ya kila mtu kwa ajili yake. \v 54 Musa na Eliazari kuhani wakazichukuazile dhahabu toka kwa makamanda wa maelfu na makepteni wa mamia. Wakavipeleka kwenye hema ya kukutania kama ukumbusho wa watu wa Israeli kwa BWANA.
\v 52 Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA- sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16, 750. \v 53 Kila mwanajeshi alikuwa ameteka nyara ya kila mtu kwa ajili yake. \v 54 Musa na Eliazari kuhani wakazichukua zile dhahabu toka kwa makamanda wa maelfu na makepteni wa mamia. Wakavipeleka kwenye hema ya kukutania kama ukumbusho wa watu wa Israeli kwa BWANA.

View File

@ -533,6 +533,7 @@
"31-39",
"31-42",
"31-47",
"31-48"
"31-48",
"31-50"
]
}