Wed Jul 20 2022 08:51:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-20 08:51:06 +03:00
parent 0cbbd058ac
commit 9400e42541
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Mungu akamjibu Balaam, "Usiambatane na hao wanaume. Na usiwalaani hawa wana wa Israeli kwa sababu wamebarikiwa." \v 13 Balaamu akaamka asubuhi na kuwaambia wale viongozi wa Balaki,. "Rudini nchini kwenu kwa sababu BWANA amenikataza kuambatana nanyi." \v 14 Kwa hiyo wale viongozi wa Moabu wakaondoka na kurudi kwa Balaki. Wakamwambia, "Balaamu amekataa kuambatana nasi."
\v 12 Mungu akamjibu Balaam, "Usiambatane na hao wanaume. Na usiwalaani hawa wana wa Israeli kwa sababu wamebarikiwa." \v 13 Balaamu akaamka asubuhi na kuwaambia wale viongozi wa Balaki,. "Rudini nchini kwenu kwa sababu BWANA amenikataza kuambatana nanyi." \v 14 Kwa hivyo wale viongozi wa Moabu wakaondoka na kurudi kwa Balaki. Wakamwambia, "Balaamu amekataa kuambatana nasi."

View File

@ -385,6 +385,8 @@
"22-02",
"22-05",
"22-07",
"22-09"
"22-09",
"22-12",
"22-15"
]
}