Sat Jul 16 2022 10:47:56 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-16 10:47:56 +03:00
parent 7c0679314a
commit 8b9a72e40a
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Itafanyika hivi kwa kila fahari, kwa kila kondoo dume, na kila mwanakondoo dume au mbuzi mchanga. \v 12 Kila sdaka utakayoindaa na kuitoa itafanyika kama ilivyoanishwa hapa. \v 13 Wazawa wote wa Israeli watafanya mambo haya kwa utaratibu huu, yeyote atakayeleta sadaka iliyotengenezwa kwa moto, ili kufanya harufu nzuri kwa BWANA.
\v 11 Itafanyika hivi kwa kila fahari, kwa kila kondoo dume, na kila mwanakondoo dume au mbuzi mchanga. \v 12 Kila sadaka utakayoindaa na kuitoa itafanyika kama ilivyoanishwa hapa. \v 13 Wazawa wote wa Israeli watafanya mambo haya kwa utaratibu huu, yeyote atakayeleta sadaka iliyotengenezwa kwa moto, ili kufanya harufu nzuri kwa BWANA.

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Na kama kuna mgeni anayeishi kati yenu, au yeyote atakayeishi na watu wa vizazi vyenu vyote, lazima atengeneze sadaka iliytoengenezwa kwa moto, ili kutoa harufu nzuri kwa BWANA. Atafanya kama mnavyofanya. \v 15 Kutakuwa na sheria hiyo hiyo kwa watu wote na kwa mgeni anayeishi kati yenu, sheria ya kudumu kwa watu wote wa uzao wako. Ninyi mlivyo, ndivyo atakavyokuwa mgeni aliyeishi kati yenu. Atafanya kama mnavyofanya mbele ya BWANA. \v 16 Sheria na amri hiyohiyo ndiyo itakayotumika kwa mgeni anayeishi kati yenu."
\v 14 Na kama kuna mgeni anayeishi kati yenu, au yeyote atakayeishi na watu wa vizazi vyenu vyote, lazima atengeneze sadaka ilioengenezwa kwa moto, ili kutoa harufu nzuri kwa BWANA. Atafanya kama mnavyofanya. \v 15 Kutakuwa na sheria hiyo hiyo kwa watu wote na kwa mgeni anayeishi kati yenu, sheria ya kudumu kwa watu wote wa uzao wako. Ninyi mlivyo, ndivyo atakavyokuwa mgeni aliyeishi kati yenu. Atafanya kama mnavyofanya mbele ya BWANA. \v 16 Sheria na amri hiyohiyo ndiyo itakayotumika kwa mgeni anayeishi kati yenu."

View File

@ -285,6 +285,7 @@
"15-01",
"15-04",
"15-06",
"15-08"
"15-08",
"15-11"
]
}