Thu Jul 14 2022 20:32:38 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-14 20:32:38 +03:00
parent 22f4bdd675
commit 824bb3a305
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Waambie watu, 'Jitakaseni ninyi wenyewe, kwa kuwa kesho mtakula nyama, kwa kuwa mmelia na BWANA amesikia, "Mlipokuwa mkisema kuwa nani atakayetupa nyama tule? Kule Misri tulikula chakula kizuri!" Kwa hiyo BWANA atawapeni nyama, nanyi mtakula nyama. \v 19 Hamtakula nyama kwa siku moja tu, au siku mbili, au siku tano, au siku kumi, au siku ishirini, \v 20 Lakini mtakula nyama kwa mwezi mmoja mpaka zitakapowatokea puani. Mpaka zitawakinai kwa sababu mmemkataa BWANA ambaye yuko kati yenu. Mmelia mbele yake. mmesema, "Kwa nini tulitoka Misri?""
\v 18 Waambie watu, 'Jitakaseni ninyi wenyewe, kwa kuwa kesho mtakula nyama, kwa kuwa mmelia na BWANA amesikia, "Mlipokuwa mkisema kuwa nani atakayetupa nyama tule? Kule Misri tulikula chakula kizuri!" Kwa hiyo BWANA atawapeni nyama, nanyi mtakula nyama. \v 19 Hamtakula nyama kwa siku moja tu, au siku mbili, au siku tano, au siku kumi, au siku ishirini, \v 20 Lakini mtakula nyama kwa mwezi mmoja mpaka zitakapowatokea puani. Mpaka mutazikinai kwa sababu mmemkataa BWANA ambaye yuko kati yenu. Mmelia mbele yake. mmesema, "Kwa nini tulitoka Misri?""