Thu Jul 14 2022 10:14:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-14 10:14:50 +03:00
parent 5a1dd7a18c
commit 6fd08df630
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli kumi, iliyojaa ubani. \v 21 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga, kondoo dume mmoja, na mwanakondoo mmoja dume. \v 22 Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi. \v 23 Alitoa makisai wawili, Kondoo dume watano, beberu watano, na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii likuwa sadaka ya Nethaneli mwana wa Zuari.
\v 20 Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli kumi, iliyojaa ubani. \v 21 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga, kondoo dume mmoja, na mwanakondoo mmoja dume. \v 22 Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi. \v 23 Alitoa makisai wawili, Kondoo dume watano, beberu watano, na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii ilikuwa sadaka ya Nethaneli mwana wa Zuari.

View File

@ -159,6 +159,8 @@
"07-10",
"07-12",
"07-15",
"07-18"
"07-18",
"07-20",
"07-24"
]
}