Wed Jul 20 2022 08:47:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-20 08:47:06 +03:00
parent bd29faac97
commit 4c059847aa
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Akatuma wajumbe kwenda kwa Balamu mwana wa Beori, kule Petho ambayo iko karibu na mto Frati, katika nchi ya taifa lake na watu wake. Akamwita na kumwambia, "Tazama, Kuna taifa ambalo wamekuja hapa tokea Misiri. Wanafunika uso wa dunia na sasa wananifuatia mimi. \v 6 Tafadhali naomba uje unilaanie hili taifa, kwa sababu wana nguvu kuliko mimi. Labda nitaweza kuwavamia na kuwafukuza watoke katika nchi yangu. Najua kuwa yeyote unayembariki hubarikiwa na yeyote unayemlaani atalaaniwa."
\v 5 Akatuma wajumbe kwenda kwa Balamu mwana wa Beori, kule Petho ambayo iko karibu na mto Frati, katika nchi ya taifa lake na watu wake. Akamwita na kumwambia, "Tazama, Kuna taifa ambalo wamekuja hapa tokea Misiri. Wanafunika uso wa dunia na sasa wananifuatia mimi. \v 6 Tafadhali naomba uje unilaanie hili taifa, kwa sababu wana nguvu kuniliko. Labda nitaweza kuwavamia na kuwafukuza watoke katika nchi yangu. Najua kuwa yeyote unayembariki hubarikiwa na yeyote unayemlaani atalaaniwa."

View File

@ -382,6 +382,7 @@
"21-33",
"22-title",
"22-01",
"22-02"
"22-02",
"22-05"
]
}