Fri Jul 22 2022 09:51:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-22 09:51:22 +03:00
parent 839e5f2788
commit 42a6331e0b
3 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 53 Mtachukua hiyo ardhi iwe mali yenu na muishi ndani yake, kwa sababu nimewapeni hiyo nchi iwe mali yenu. \v 54 Mtairithi hiyo nchi kwa kupiga kura, kwa kufuata kila ukoo. Kwa zile koo kubwa kubwa mtawapa sehemu kubwa ya ardhi, na kwa zile koo ndogo ndogo mtawapa sehemu ndogo ya ardhi. Kura itakapoanguka kwenye kila ukoo, hiyo ardhi itakuwa mali yake. Mtairithi ardhi kufuata ukoo wa kabilla la jamaa zenu.
\v 53 Mtachukua hiyo ardhi iwe mali yenu na muishi ndani yake, kwa sababu nimewapeni hiyo nchi iwe mali yenu. \v 54 Mtairithi hiyo nchi kwa kupiga kura, kwa kufuata kila ukoo. Kwa zile koo kubwa kubwa mtawapa sehemu kubwa ya ardhi, na kwa zile koo ndogo ndogo mtawapa sehemu ndogo ya ardhi. Kura itakapoanguka kwenye kila ukoo, hiyo ardhi itakuwa mali yake. Mtairithi ardhi kufuata ukoo wa kabila la jamaa zenu.

1
34/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 34

View File

@ -571,6 +571,9 @@
"33-41",
"33-44",
"33-47",
"33-50"
"33-50",
"33-53",
"33-55",
"34-title"
]
}