Wed Jul 13 2022 09:20:02 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-13 09:20:02 +03:00
parent 3b330cbba7
commit 06f249ffb9
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Hii ndiyo itakuwa kazi ya koo za Gerishoni, wanapotumikia na wanachobeba. \v 25 Watabeba pazia la masikani, hema la kukutania, na vifunikio vyake, vifuniko vya ngozi ya pomboo ambvyo viko juu yake, na pazia kwenye lango la hema ya kukutania. \v 26 Watabeba pazia la ua, pazia la kwenye mlango wa ua, ambao uko karibu na maskani karibu na madhabahu, kamba zake na vifaa vyote vya utumishi wake. Chochote kinachotakiwa kufanywa kutokana na vitu hivi, wao ndio watakaofanya.
\v 24 Hii ndiyo itakuwa kazi ya koo za Gerishoni, wanapotumikia na wanachobeba. \v 25 Watabeba pazia la masikani, hema la kukutania, na vifunikio vyake, vifuniko vya ngozi ya pomboo ambvyo viko juu yake, na pazia kwenye lango la hema ya kukutania. \v 26 Watabeba pazia la ua, pazia la mlango wa ua, ambao uko karibu na maskani karibu na madhabahu, kamba zake na vifaa vyote vya utumishi wake. Chochote kinachotakiwa kufanywa kutokana na vitu hivi, wao ndio watakaofanya.

View File

@ -108,6 +108,7 @@
"04-12",
"04-15",
"04-17",
"04-21"
"04-21",
"04-24"
]
}