sw_num_text_reg/01/17.txt

1 line
405 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 17 Musa na Haroni wakawachukua wale wanaume, waliokuwa wameandikwa kwa majina, \v 18 na pamoja na wanaume hao waliwakusanya wanaume wote katika siku ya kwanza ya mwezi wa pili. Kisha kila mwanume wa miaka ishirini na zaidi alitambua babu zake. Alitakiwa kutaja koo na famila kutoka katika ukoo. \v 19 Kisha Musa akaandika hesabu yao huko katika nyika ya Sinai, Kama Mungu alivyokuwa amemwamuru kufanya.