sw_num_text_reg/07/39.txt

1 line
345 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 39 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga, dume la kondoo, na dume la mwanakondoo la mwaka mmoja. \v 40 Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi. \v 41 Alitao maksai wawili, dume wawili wa kondoo, beberu watano, na dume watano wa wanakondoo wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii ndiyo iliyokuwa sadka ya Shelumei mwana wa Zurishadai.