sw_num_text_reg/01/53.txt

1 line
296 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 53 Hata hivyo Walawi lazima waweke hema zao kuizunguka hiyo masikani ya amri za agano ili kwamba hasira yangu isije ikawaka juu ya wana wa Israeli. Walawi lazima wailinde hiyo masikani ya amri za agano." \v 54 Wana wa Israeli walifanya yote . Walifanya yote ambayo BWANA aliagiza kupitia Musa.