sw_neh_text_reg/09/18.txt

1 line
358 B
Plaintext

\v 18 Wala hukuwaacha hata walipokwisha kutoa ndama katika chuma kilichochomwa na kusema, "Huyu ndio Mungu wenu aliyekuleta kutoka Misri," wakati walipopotoka sana. \v 19 Wewe, kwa huruma yako, hukuwaacha katika jangwa. Nguzo ya wingu iliyowangoza njiani haikuwaacha wakati wa mchana, wala nguzo ya moto usiku iliwaangazia barabara ambayo walipaswa kutembea.