sw_neh_text_reg/09/09.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 9 Uliona shida ya baba zetu Misri na ukasikia kilio chao kando ya bahari ya shamu. \v 10 Wewe ulifanya ishara na maajabu juu ya Farao, na watumishi wake wote, na watu wote wa nchi yake, kwa maana ulijua kwamba Wamisri walifanya kwa kujivunia. Lakini ulijifanyia jina ambalo linasimama hadi siku leo.