sw_neh_text_reg/02/19.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 19 Lakini Sanbalati Mhoroni, na Tobia mtumishi wake Mwamoni, na Geshemu, Mwarabu, waliposikia habari hiyo, wakatucheka na kututukana; wakasema, "Unafanya nini? Je, unagombana na mfalme?" \v 20 Ndipo nikawajibu, "Mungu wa mbinguni atatupa ufanisi. Sisi ni watumishi wake na tutaondoka na kujenga. Lakini huna sehemu, hakuna haki, na hakuna dai la kihistoria huko Yerusalemu."