sw_neh_text_reg/12/08.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 8 Walawi walikuwa Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na Matania, aliyekuwa akiongoza nyimbo za shukrani, pamoja na washirika wake. \v 9 Bakbukia na Uno, washirika wao, walisimama pembeni yao wakati wa huduma.