sw_neh_text_reg/13/21.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 21 Lakini niliwaonya, "Mbona mnakaa nje ya ukuta? Ikiwa mtafanya hivyo tena, nitakuweka mikononi!" Kutoka wakati huo hawakuja siku ya sabato. \v 22 Nikawaamuru Walawi kujitakasa, na kuja kulinda milango, ili kutakasa siku ya Sabato. Nikumbuke kwa hili pia, Mungu wangu, na kunipatia huruma kwa sababu ya uaminifu wa agano ulilonalo kwangu.