sw_neh_text_reg/10/09.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 9 Walawi walikuwa Yeshua mwana wa Azania, Binui wa jamaa ya Henadadi, Kadmieli, \v 10 na Walawi wenzake, Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, \v 11 Mika, Rehobu, Hashabia, \v 12 Zakuri, Sherebia, Shebania, \v 13 Hodiya, Bani na Beninu. \v 14 Viongozi wa watu walikuwa Paroshi, Pahath-Moabu, Elamu, Zatu, Bani,