sw_neh_text_reg/11/28.txt

1 line
543 B
Plaintext

\v 28 Nao wakakaa Siklagi, na Mekona, na vijiji vyake, \v 29 Enrimoni, Sora, Yarmuthi, \v 30 Zanoa, Adulamu, na vijiji vyake, na Lakishi, na mashamba yake, na Azeka, na vijiji vyake. Basi wakakaa kutoka Beer-sheba mpaka bonde la Hinomu. \v 31 Watu wa Benyamini pia walikuwa wakiishi kutoka Geba, kwenda Mikmashi na Aiya, na Beth-eli na vijiji vyake. \v 32 Waliishi Anathothi, Nobu, Anania, \v 33 Hazori, Rama, Gitaimu, \v 34 Hadidi, Seboimu, Nebalati, \v 35 Lodi, na Ono, bonde la wafundi. \v 36 Walawi wengine waliishi Yuda wengine Benyamini.