sw_neh_text_reg/11/17.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 17 Alikuwepo Matania, mwana wa Mika, mwana wa Zakri, mwana wa Asafu, aliyekuwa mkurugenzi aliyeanza shukrani kwa sala, na Bakbukia, wa pili miongoni mwa ndugu zake, na Abda mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. \v 18 Katika mji wote mtakatifu walikuwa Walawi 284.