sw_neh_text_reg/12/04.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 4 Kulikuwa na Iddo, Ginethoni, Abiya, \v 5 Miyamini, Maazia, Bilgai, \v 6 Shemaya, Yoyaribu, Yedaya, \v 7 Salu, Amoki, Hilkia, na Yedaya. Hawa walikuwa wakuu wa makuhani na washirika wao katika siku za Yoshua.