sw_neh_text_reg/12/32.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 32 Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda walimfuata, \v 33 na baada yake akaenda Azaria, Ezra na Meshulamu, \v 34 Yuda, Benyamini, Shemaya, Yeremia \v 35 na wana wa makuhani waliokuwa na tarumbeta, na Zekaria mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya, mwana wa Mataniya, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu.